12 September, 2011

Tuungane kwa pamoja ili kufanikisha burudani hii,wadau hii ni kwa ajili yenu na kwa lolote lenye kujitoshereza na lenye kufunza kwa namna moja hama nyingine nitumie kupitia email yangu ''dmikepresenter@yahoo.com'' ili pamoja na wale walio wengi wenye mengi ya kusema kupitia mtandao,iwe ni habari,burudani,habari ya kijamii,na mengine mengi ni yangu matumaini kuwa tutakwenda pamoja kwa ushirikiano.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home